MASWALI YA KUJIULIZA NA KUJIPIMA KATIKA UJASIRIAMALI




Kuwa Mjasiriamali wa kweli na uweze kumiliki miradi ya pesa nyingi sio kazi rahisi kama wengi wanavyodhani. Kazi hii inahitaji mtu mwenyewe kujiuliza na kujipima kabla ya kuingia kwenye shughuli yoyote ya Ujasiriamali. Kujiuliza kwa dhati na kuamua kufanya shughuli hiyo.

MASWALI YA KUJIULIZA NA KUJIPIMA:
1. Je, ninaweza kuongoza wengine?
2. Je, ni mpangaji mzuri wa mipango?
3. Unawachukuliaje watu wengine (uhusiano wako na wao)?
4. Je, unaweza kufanya vitu wewe mwenyewe?
5. Je, wewe ni mfanya kazi mzuri?
6. Je, una Uwezo wa kutoa maamuzi?
7. Watu wanaweza kuamini unachosema?

Maswali hayo na mengine mengi yanayofanana na hayo ukiweaza kuyajibu yataweza kukusaidia kufanya maamuzi yenye tija katika Ujasiriamali wako.
Usikose kusoma kitabu cha Siri Za Kufanikiwa Katika Ujasiriamali kupitia>>> https://simgazeti.dautechnology.co.tz/home/content/2954

Comments

Popular Posts